NAMSHUKURU MUNGU NIMEPATA MKE

Ilikuwa ni tarehe 06/12/2009 katika kanisa la EAG(T) Sinza Makaburini Dar ndipo Bwana alipotuunganisha mimi na Flora D. Mwakalago kuwa mume na mke.

                                                                  

Natumia fursa hii  kuleta shukrani zangu za dhati kwa wasomaji wa blog hii, rafiki na jamaa zangu wote kwa namna mlivyoshiriki pamoja nasi kwa maombi, michango na ushiriki wenu ili kufanikisha harusi hii.

Mnisamehe nilikuwa kimya kwa siku kadhaa bila kuandaa masomo na kuweka kwenye blog kwa sababu ya maandalizi ya shughri hii. Naam sasa tumerudi kazini na maisha yetu yanaendelea vema kabisa.  Ni imani yangu kwamba kusudi la Mungu la “kuinua misingi ya vizazi vingi (Isaya 58:12), litaendelea kutekelezwa”. Hakika namshukuru Mungu kwa kumpata msaidizi huyu.

 Bwana Mungu awabariki sana, tuzidi kuombeana.

Thanks

Mr&Mrs. Sanga.

Advertisements

15 comments

 1. Shalom Patrick,
  Hongera sana,mana ni hatua muhimu ktkt maisha nawe BWANA amekuwezesha kuifikia.Maisha mema ktk ndoa yako nakutakia.
  Barikiwa sana mtumishi.

  Like

 2. Wanameremetaaaa wanameremeta P & F wanameremetaaaaaaaaaaaaaaa.
  Mbarikiwe sana Mr and Mrs Sanga.Tunamshukuru sana Bwana wa majeshi kwa ajili yenu.Patrick umetuachia pigo kubwa sana kambi yetu ya Mabachelor.Utuombee ndugu zako na sisi tuvuke salama kwa kuliinua jina la Bwana wa majeshi.
  Barikiwa.

  Like

 3. Hey bro Sanga najipatanisha na upako huo wa ndoa najua muda na wakati wangu alionipangia Mungu ukifika nami nitameremeta. Be Blessed you and ur lovely wife.

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s